Mkali wa R&B Bongo, Nuruel ameamua kurudi katika bendi yake ya zamani, B-Band inayomilikiwa na kuongozwa na msanii Banana Zorro baada ya kuondoka na kuamua kupiga ishu kimpango wake kwa takribani miaka kadhaa.
Mchizi ambaye alianya vyema ndani ya ngoma ya Nzela kabla hajaondoka hivi karibuni alisema na blog hii kwamba; Nimeamua kurudi kwa Jembe langu Banana ili tundeleze game, siunajua muziki wa live ndiyo wenyewe, mashabiki wangu waje waone vitu vipya pande hizi za B-Band kila tunapokuwa".
Friday, April 1, 2011
Posted in | |
0 Comments »
One Responses to "NURUEL ARUDI KWA BANANA"