ILI MUZIKI WETU UWEZE KWENDA KIMATAIFA NI LAZIMA TUBADILIKE, SAPOTI YAKO PIA MUHIMU

Ule mpambano wa nguvu unaoendeshwa na Gazeti la Ijumaa kila mwaka kupitia safu ya ShowBiz umeanza rasmi wiki hii. Unachotakiwa kufanya ni kumpigia kura staa ambaye unadhani ana mvuto wa kuwa Ijumaa Sexiest Barchelor. Usikose kuicheki safu hiyo wiki ijayo ili kujua kinachoendelea.





Friday, August 14, 2009 Posted in | | 0 Comments »

One Responses to "IJUMAA SEXIEST BARCHELOR HAWA HAPA"

Write a comment