Baada ya kufanya 'mauaji' kunako shoo zao za Sumbawanga, Mbeya na Iringa, makundi mawili yaliyoungana, TMK Wanaume family na Tip Top Connection kutoka pande za Manzese Dar yameendeea kufunika katika shoo iliyogongwa jana pande za Morogoro ndani ya Uwanja wa Jamhuri (mchana) na katika ukumbi wa Bwalo la Umwema (usiku. Leo Jumapili washikaji wataangusha bonge la shoo kunako Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma. Big Up wana kwa kufikiria kuungana.
Sunday, August 9, 2009
Posted in | |
0 Comments »
One Responses to "TMK, TIP TOP WAFUNIKA TENA"