Kutoa ndani ya Kundi la Scout Jenta lililowahi kufanya vyema kupitia game ya muziki wa Bongo Fleva ikiwemo ngoma yao, 'Kijana mteja' na kusambaratika, msanii Hamadi Othmani 'Scout O' ametoka kivyake na ngoma yenye jina la 'Sera ya mapenzi' ambayo imempa shavu Ismail wa B-Band yakiwa ni maandalizi wa albamu yake ya kwanza.
Mbali na yeye, mshikaji wa karibu, K-Man naye pia ameachia kazi yenye jina la Wamesahau chini ya prodyuza Lamar. Kazi kwenu wadau wa burudani, madogo wamekuja kivingine sana.
Mbali na yeye, mshikaji wa karibu, K-Man naye pia ameachia kazi yenye jina la Wamesahau chini ya prodyuza Lamar. Kazi kwenu wadau wa burudani, madogo wamekuja kivingine sana.
Sunday, September 27, 2009
Posted in | |
0 Comments »
One Responses to "SCOUT O, K-MAN NA NGOMA MPYA"