ILI MUZIKI WETU UWEZE KWENDA KIMATAIFA NI LAZIMA TUBADILIKE, SAPOTI YAKO PIA MUHIMU


Tuzo za MAMA (MTV Africa Music Awards) zipo on air na inajulikana kwamba hapa Bongo, Ambwene Yesaya ÔAYÕ na Sara Kaisi ÔShaaÕ ndiyo nominees pekee waliotajwa kushiriki.
A.Y anachuana na wakali kama Jigga katika tuzo ya Msanii Bora wa Hip Hop, Shaa anaparurana na wasanii wa mataifa mengine katika tuzo ya Msanii Bora Anayekuja.
Wanaweza kushinda ikiwa tu hautobana kuwapigia kura, kumchagua AY andika neno BHH AY kwenda namba 0789 777 333 na Shaa unaandika BNA SHAA kwenda namba 0789 777 333. Unaweza kupiga kura mara nyingi kadiri uwezavyo ili kuipa heshima Tanzania katika eneo la muziki.

Friday, September 18, 2009 Posted in | | 0 Comments »

One Responses to "WAPE SHAVU A.Y, SHAA TUZO ZA MTV"

Write a comment