ILI MUZIKI WETU UWEZE KWENDA KIMATAIFA NI LAZIMA TUBADILIKE, SAPOTI YAKO PIA MUHIMU

TMK Family wakishambulia steji kunako fukwe za Coco Beach
Temba a.k.a Mtoto wa Kichaga akiwa kazini
KR Mullah na mastaili ya ukweli
KR (kushoto) sambamba na Chegge Chigunda a.k.a Mtoto wa Mama Said
Hii ndo namba yangu, unaweza kunicheki taim yoyote, au siyo dogo?
Stiko a.k.a Mtoto wa Mtaa akisema na steji
Zozo Widda: Dah! Ile shoo ilikuwa ya ukweli mpaka nahisi kupoteza network
Ilikuwa ni full umati, full watu, hakukua hata na sehemu ya kukanyaga ikabidi nisepe mapema
Mchizi kutoka pande za Moro naye alidondoka ufukweni hapo
Oyaa Mfalme Sele inakuwaje? Kamuaaaaaa!!!!
Nimeona kazi mtu mzima, kama vipi kesho njoo studio tupige ngoma nyingine
Hii ndo ilikuwa meza ya wadau ikiongozwa na P-Funk Majani
Kutoka Hot Port Family, Suma G nae alikuwepo pande hizo
Bw. Misosi: Dah! Niko bize kidogo ntakucheki baadae
Nani alisema Ferooz siku hizi anajichimbia ndani tu. Na huyu Je?

Tuesday, September 22, 2009 Posted in | | 0 Comments »

One Responses to "TMK WALIVYOPOTEZA COCO BEACH EID PILI"

Write a comment