Mimi na Ambwene Yesaya 'A.Y' tukiwa katika pozi
Kutoka pande za Sinza, Dar es Salaam, Mzee wa Commecial, Ambwene Yesaya a.k.a A.Y amesema na ebwanadaah kwamba, mwaka huu wa 2010 kwake utakuwa ni vita coz amejipoanga kuachia jiwe juu ya jiwe ili kwenda kimataifa zaidi kama alivyoanza na Bed & Breakfast na Queens & Kings.
Saturday, March 20, 2010
Posted in | |
0 Comments »
One Responses to "AMBWENE: 2010 NI JIWE JUU YA JIWE"