Madee na Pendo enzi za furaha yao
Huzuni imechukua nafasi yake
Taarifa ya huzuni iliyodondoka ndani ya ebwanadaah hivi punde inasema kwamba, msanii Hamad Ally a.k.a Madee kutoka ndani ya familia ya Tip Top Connection amefiwa na mpenzi wake wa siku nyingi,Pendo.
Akiongea na mtandao huu kwa njia ya simu leo asubuhi,Madee alisema kwamba Pendo amefariki dunia jana kwa ajali ya basi la Shabiby linalofanya safari zake kati ya Dar es Salaam na Dodoma iliyotokea jana. Mimi kama mmoja wa ndugu wa karibu na msanii Madee natoa pole nyingi, namuomba awe mvumilivu katika kipindi hiki kigumu.
Mungu alitoa na Mungu ametwaa.

Thursday, March 11, 2010
Posted in | |
0 Comments »
One Responses to "MADEE AONDOKEWA NA MPENZI WAKE"