Aliyekuwa mchumba wa msanii, Madee aliyefariki dunia juzi kwa ajali ya basi, Pendo anatarajiwa kuagwa Jumatatu Machi 15, 2010 katika Hospitali ya Taifa Muhimbili kuanzia saa 4 asubuhi hadi 6 kabla ya kusafirishwa kuelekea Moshi kwa mazishi. Mungu aiweke Roho ya Marehemu Mahali pema, peponi.
Sunday, March 14, 2010
Posted in | |
0 Comments »
One Responses to "PENDO WA MADEE KUANGWA J'3, MUHIMBILI"