Cheki pozi jipya la Misosi
Artist wa Bongo Flava, Joseph Rushau a.k.a Bwana Misosi, ameibukia pande za Tanga na kusema na safu hii kwa njia ya simu kwamba alikuwa tight na mambo ya kifamilia, ili kuvunja ukimya huo, soon atadondosha ngoma moja funiko inayokwenda kwa jina la Huwezijua ambayo amempa shavu Juacali kutoka Kenya.
Akipiga stori na Abby Cool & MC George Over Da Weekendi juzikati, Misosi aliyethubutu ku-shine na songi la Nitoke Vipi na baadaye Mabinti wa Kitanga, alisema kuwa ngoma hiyo aliyomshirikisha mchizi kutoka kwa Mwaikibaki, imefanyika hapa Bongo katika Studio ya Fish Crab iliyopo maeneo ya Jangwani, jijini Dar ukiwa ni mkono wa prodyuza yanki, Lamar.

Monday, March 1, 2010
Posted in | |
0 Comments »
One Responses to "MISOSI, JUACALI HUWEZIJUA"