ILI MUZIKI WETU UWEZE KWENDA KIMATAIFA NI LAZIMA TUBADILIKE, SAPOTI YAKO PIA MUHIMU

Hapa nikipeana mkono na Mbangu huku 'mkubwa' Sifael (katikati) akishuhudia
Stori ziliendelea. Fancis (wa pili kutoka kulia) akichungulia kwa mbali

Siku chache baada ya kuachiwa huru kutoka katika kifungo cha maisha, watoto wawili wa mwanamuziki Nguza Viking 'Babu Seya', Nguza Mbangu na Francis walitutembelea ofisini, mi pia nilipiga nao stori mbili tatu tukabadilishana mawazo.

Monday, March 1, 2010 Posted in | | 0 Comments »

One Responses to "USO KWA USO NA WATOTO WA BABU SEYA"

Write a comment