ILI MUZIKI WETU UWEZE KWENDA KIMATAIFA NI LAZIMA TUBADILIKE, SAPOTI YAKO PIA MUHIMU

Unamkumbuka yule dogo aliyeibuliwa na King Crazy GK na kutamba ndani ya kundi la East Coast Team? Anaitwa Jumaa aliyesimama vyema kwenye ngoma kama 'Komaa nao' na 'Piga Manati'. Baada ya umoja huo kusambaratika na yeye kupotea kwenye game kwa muda mrefu, sasa anarudi tena. Endelea kucheki na blog hii iili ufahamu dogo anarudi vipi.

Sunday, March 14, 2010 Posted in | | 0 Comments »

One Responses to "UNAMKUMBUKA JUMAA WA EAST COAST? ANAKUJA TENA"

Write a comment