Mimi na wafanyakazi wenzangu, Walter a.k.a Mcharuko (katikati) na Cralence a.k.a Mwalumwalu tukijipongeza kwa juisi baada ya kazi ngumu ya kutwa nzima (huwa tunaita kufuta mafolda yenye virus yaliyojaa vichwani). Ilikuwa ni tafrija fupi iliyoandaliwa na MD wetu, Eric Shigongo, ndani ya Hotel ya Atriums, liyopo Sinza, hivi karibuni.
Sunday, March 14, 2010
Posted in | |
0 Comments »
One Responses to "KUFUTA MAFOLDA MUHIMU JAMANI"