About Me
MC Logo
PHOTOS
SHOW BIZ HITZ
BONGO HITZ
OLD SCHOOL FLAVA
Blog Archive
-
▼
2010
(208)
-
▼
November
(19)
- DIDAS FACION MWANADADA WA KIBONGO ANAYEFANYA MAKUB...
- AMBA AHAMISHIA MAJESHI DAR
- HABARI NJE KUTOKA BACKYARD RECORDS
- UJUMBE KUTOKA KWA FROLA MVUNGI
- NGOMA MPYA KUTOKA KWA BONTA
- BARAZA JIPYA LA MAWAZIRI HILI HAPA
- VIDEO MPYA KUTOKA KWA ZUHURA
- JAYMAH ADONDOKA BONGO
- CHEGGE AJITUPIA KWENYE BIASHARA YA DUKA
- AMKA KIJANA LILIVYOWAKILISHA
- WAZIRI MKUU NI PINDA TENA
- BONGO FLAVA VS SOKA JUMAMOSI
- JIANDAE KUMPOKEA D WA GHETTO KIDEONI
- SWAGA ZA SWAHILI FASHION HIZI HAPA
- HATIMAYE WASANII MIKE, THEA WAOANA
- KUTOKA A-TOWN HUYU HAPA DOGO JANJA
- WABUNGE WAPYA WALIYOPITA 2010
- VIJANA, WASANII WALIYOWAINUA MASHABIKI WA CHADEMA
- AMKA KIJANA ILIVYOKUWA
-
▼
November
(19)
G5 WORLD
ILI MUZIKI WETU UWEZE KWENDA KIMATAIFA NI LAZIMA TUBADILIKE, SAPOTI YAKO PIA MUHIMU
"HALOW! MAMBO VIPI! MIMI NI PRODUCER AMBA. JINA LANGU KAMILI NI AMBANGILE MBWANJI. NDIE NLIEFANYA NYIMBO ZA HUSSEIN MACHOZI KAMA FULL SHANGWE, KWAAJILI YAKO, UTAIPENDA, NA ZA MWIZI PIA NIMEFANYA NYIMBO ZINGINE KAMA NAKUPENDA SANA HIP HOP YA ROHO SABA, TO NIGHT YA YAKI, NA SARAHA YA RAMA DEE.
NASHUKURU SANA KWA MSAADA NA SUPPORT MNAYO NIPA KATIKA KUENDELEZA SANAA HII YA MUZIKI. NAUTAMBUA SANA MCHANGO WENU.
KWA SASA NIMEFUNGUA STUDIO YANGU DAR ES SALAAM MAENEO YA TABATA KIMANAGA INAITWA AMBA RECORDS. TAYARI NIMETOA FIRST SINGLE KUTOKA KATIKA STUDIO YANGU MPYA. WIMBO UNAITWA FALLING IN LOVE, MSANII NI K. MASSIVE, HUYU JAMAA NI MWANAFUNZI WA CHUO KIKUU CHA RUCO (ST. AUGUSTINE - IRINGA) NA NI MKAZI WA MBEYA. PIA KATIKA WIMBO HUU AMENISHIRIKISHA KATIKA KIBWAGIZO (CHORUS).
NAPENDA KUTANGULIZA SHUKURANI ZANGU KWA USHURIKIANO AMBAO MTAZIDI KUONESHA KWA WASANII NA MUSIC PRODUCERS WENGINE KATIKA MUZIKI WETU HUU WA KIZAZI KIPYA.
ASANTENI".
Read More......Kwa niaba ya Backyard Studio naomba nitoe tena fulsa ya pekee kwa Wasanii wote nchini iwe vikundi au mmoja mmoja kurecord nyimbo BURE kuanzia tarehe 30/11/2010 hadi tarehe 09/12/2010. Nyimbo hizo ziwe mahususi kwa ajili ya kusaidia, kuhamasisha jamii na kuelimisha kuhusu janga la Ukimwi linalo tukabili.
Dhumuni la Backyard kwa sasa ni kusaidia Jamii katika Majanga yote ya kitaifa kwa kupitia Sanaa. Tunaamini Ukimwi ni moja ya Janga kubwa sana linalo pelekea Serekali na Jamii kutumia pesa nyingi, muda na maarifa katika kutaka kuokoa maisha ya ndugu na jamaa zetu sambamba na kutokomeza gonjwa hili. Wasanii ni watu muhimu sana na naamini wakiamua kupiga kampeni hii ujumbe utafika na yote haya yana wezekana.
Naomba nyimbo ziwe za kweli zenye uwezo wa kukaa kwa muda mrefu zaidi na ambazo zitavutia jamii kusikiliza na ujumbe kuwafikia pale walipo ndani ya kipindi chote si wakati wa maadhimisho haya tu.
Tuwasiliane ili tupeane utaratibu wa kufuata japo hakuna mashari. Ahsante
Braton (Backyard Records)
S.L .P 14663 D'Salaam
Tanzania
+255 713 888 779.
Hello ma fans, mambo vipi? Niko pande za Mwanza namalizia muvi yangu ya pili, yenye jina la Trafic Pori, natarajia kurudi Dar Jumamosi hii baada ya kazi nzito ya kurekodi"
Read More...... NA. | OFISI/WIZARA | WAZIRI | NAIBU WAZIRI |
1. | Ofisi ya Rais | 1. WN – OR – Utawala Bora Mathias Chikawe 2. WN – OR – Mahusiano na Uratibu Stephen Wassira | |
2. | Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma | Hawa Ghasia | |
3. | Ofisi ya Makamu wa Rais | 1. Muungano Samia Suluhu 2. Mazingira Dr. Terezya Luoga Hovisa | |
4. | Ofisi ya Waziri Mkuu | 1. Sera, Uratibu na Bunge William Lukuvi 2. Uwekezaji na Uwezeshaji Dr. Mary Nagu | |
5. | Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) | George Huruma Mkuchika | 1.Aggrey Mwanri 2. Kassim Majaliwa |
6. | Wizara ya Fedha | Mustapha Mkulo | 1. Gregory Teu 2. Pereira Ame Silima |
7. | Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi | Shamsi Vuai Nahodha | 1. Balozi Khamis Suedi Kagasheki |
8. | Wizara ya Katiba na Sheria | Celina Kombani | |
9. | Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa | Bernard K. Membe | 1. Mahadhi Juma Mahadhi |
10. | Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa | Dr. Hussein Ali Hassan Mwinyi | |
11. | Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi | Dr. Mathayo David Mathayo | 1. Benedict Ole Nangoro |
12. | Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia | Prof. Makame Mnyaa Mbarawa | 1. Charles Kitwanga |
13. | Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi | Prof. Anna Tibaijuka | Goodluck Ole Madeye |
14. | Wizara ya Maliasili na Utalii | Ezekiel Maige | |
15. | Wizara ya Nishati na Madini | William Mganga Ngeleja | 1. Adam Kigoma Malima |
16. | Wizara ya Ujenzi | Dr. John Pombe Magufuli | 1. Dr. Harrison Mwakyembe |
17. | Wizara ya Uchukuzi | Omari Nundu | 1. Athumani Mfutakamba |
18. | Wizara ya Viwanda na Biashara | Dr. Cyril Chami | Lazaro Nyalandu |
19. | Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi | Dr. Shukuru Kawambwa | 1. Philipo Mulugo |
20. | Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii | Dr. Haji Hussein Mpanda | 1. Dr. Lucy Nkya |
21. | Wizara ya Kazi na Ajira | Gaudensia Kabaka | Makongoro Mahanga |
22. | Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto | Sophia Simba | Umi Ali Mwalimu |
23. | Wizara ya Habari, Vijana na Michezo | Emmanuel John Nchimbi | 1. Dr. Fenella Mukangara |
24. | Wizara ya Ushirikiano wa Afrika Mashariki | Samuel John Sitta | 1. Dr. Abdallah Juma Abdallah |
25. | Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika | Prof. Jumanne Maghembe | 1. Christopher Chiza |
26. | Wizara ya Maji | Prof. Mark James Mwandosya | Eng. Gerson Lwinge |
KARIBU SANA
JE, WEWE NI MJANJA?
UNAJUA KUDANSI?
SHOUT OUT !!
Followers
My Blog List
-
-
-
-
SIMBA SC. YAWEKA SOKONI MAJI YAKE!8 years ago
-
-
HARD PRICE COMING SOON10 years ago
-
-
-
Aslay Akifanya Vitu vyake13 years ago
-
-
-
-