Hapa Dogo Janja akipozi na Chegge
Kutoka pande za Arachuga, kichwa kipya katika game ya muziki wa Bongo Flava, Dogo Janja kimedondoka Dar kwa ajili ya kazi moja tu, kugonga ngoma za ukweli ili kujiweka katika nafasi nzuri kimuzi japo kiumri bado ana miliki miaka 12.
Tayari dogo ameachia ngoma mpya kupitia studio za Silk zilizopo pande za Sinza, chini ya produza Mubba akiwashirikisha wenyeji wake, Madee na Tundaman wa Tip Top Connection.
Friday, November 5, 2010
Posted in | |
0 Comments »
One Responses to "KUTOKA A-TOWN HUYU HAPA DOGO JANJA"