Chegge akiwa na Rais JK
Hii ndiyo logo ya duka lake
Huu ni baadhi ya mzigo unaopatikana dukani kwake
Kama ilivyo kwa mastaa wengine wa Kibongo ambao wameamua kuwa wajasiliamali, ndivyo ilivyo kwa kijana Said Juma a.k.a Chegge Chigunda kutoka TMK Wanaume Family ambaye pia ameamua kujitupia kwenye bishara ya duka la nguo ili kujiongezea mkwanja, badala ya kutegemea muziki peke yake.
"Duka langu lipo pande za Kinondoni kwa Manyanya, Dar siyo mbaya mashabiki wangu na wadau wengine wa burudani wakaja kunisapoti kwakua nimedondosha vitu vya kijanja zaidi dukani," alisema Chegge.
Sunday, November 21, 2010
Posted in | |
0 Comments »
One Responses to "CHEGGE AJITUPIA KWENYE BIASHARA YA DUKA"