Simba
TMK Family
Azam FC
Wasanii wa muziki wa kizazi kipya pamoja na timu za soka za Simba na Azam FC ni miongoni mwa burudani zitakazochukua nafasi Jumamosi wiki hii ndani ya Uwanja wa Uhuru wakati tamasha la Amka Kijana likiendelea.
Mratibu wa ishu hiyo Said Fella alisema na ebwanadaah kwamba, lengo la tamasha hilo ni kuwahamasisha vijana kutojiingiza kwenye vurugu za kisiasa na kuganja yajayo baada ya uchaguzi mkuu wa 2010. Viingilio katika tamasha hilo ni shilingi elfu kumi na elfu kumi na tano VIP.
Wednesday, November 17, 2010
Posted in | |
0 Comments »
One Responses to "BONGO FLAVA VS SOKA JUMAMOSI"