Sugu (Mbunge Mbea mjini)
Sugu (kulia) na Mnyika (Mbunge wa Ubungo)
Halima Mdee (Mbunge wa Kawe)
Mr. Simple (Diwani wa Sinza)
Hawa ni baadhi ya vijana wa CHADEMA ambao wamefanikiwa kuibuka na ushindi mkubwa katika uchaguzi mkuu wa 2010 uliyofanyika Jumapili nchini nzima. Kwa upande wa Urais Zanzibar, Dk. Ally Momahed Shein ametangazwa kuwa mshindi kwa asilimia 50 akifuatiwa na Maalim Seif aliyepaya asilia 49. Kwa upande wa Tanzania Bara matokeo ya urais yanaendelea kutangazwa huku Dk. Jakaya Kikwete akionesha kuwaacha mbali wapinzani wake.
Tuesday, November 2, 2010
Posted in | |
0 Comments »
One Responses to "VIJANA, WASANII WALIYOWAINUA MASHABIKI WA CHADEMA"