ILI MUZIKI WETU UWEZE KWENDA KIMATAIFA NI LAZIMA TUBADILIKE, SAPOTI YAKO PIA MUHIMU






Ni kichwa kipya kunako game ya Hip Hop Bongo, kinakwenda kwa jina la D wa Ghetto. Hivi sasa kiko katika hatua za mwisho kumalizi video ya ngoma yake mpya, hizi ni baadhi ya scene zitakazokuwa ndani ya mzigo huo. Wana Hip Hop jiandaeni kwa mapinduzi kwakuwa mchizi yuko vizuri.

Sunday, November 7, 2010 Posted in | | 0 Comments »

One Responses to "JIANDAE KUMPOKEA D WA GHETTO KIDEONI"

Write a comment