Huyu pia alivutiwa akajisogeza pale kati Uwanja wa Uhuru
KR na TMK famili waliwakilisha
Dogo Mfaume
Abuu Fleva a.k.a Tanzanite
Wachezaji shoo wa Abuu Fleva
Berry Black
AT kazini
Muumini na Bwagamoyo Sound
Mnenguaji wa Bwagamoyo
Bwagamoyo Sound
Tamasha lililobeba ujumbe wa 'AMKA KIJANA" lilifanyika jana pale ndani ya Uwanja wa Uhuru na kuhudhuriwa na mashabiki lukuki, wengi wakiwa ni vijana ambao walihusika zaidi. Wasanii kibao walisababisha shangwe za kutosha na kurusha meseji kwenda kwa vijana wenzao ambao wanatakiwa kuganga yajayo baada ya kipindi cha uchaguzi mkuu wa 2010 kupita. Mwisho wa yote timu za Simba na Azam FC ziliangusha kandanda dimbani ambapo matokeo yalikuwa ni 3-2. Azam waliibuka na ushindi.
Sunday, November 21, 2010
Posted in | |
0 Comments »
One Responses to "AMKA KIJANA LILIVYOWAKILISHA"