"HALOW! MAMBO VIPI! MIMI NI PRODUCER AMBA. JINA LANGU KAMILI NI AMBANGILE MBWANJI. NDIE NLIEFANYA NYIMBO ZA HUSSEIN MACHOZI KAMA FULL SHANGWE, KWAAJILI YAKO, UTAIPENDA, NA ZA MWIZI PIA NIMEFANYA NYIMBO ZINGINE KAMA NAKUPENDA SANA HIP HOP YA ROHO SABA, TO NIGHT YA YAKI, NA SARAHA YA RAMA DEE.
NASHUKURU SANA KWA MSAADA NA SUPPORT MNAYO NIPA KATIKA KUENDELEZA SANAA HII YA MUZIKI. NAUTAMBUA SANA MCHANGO WENU.
KWA SASA NIMEFUNGUA STUDIO YANGU DAR ES SALAAM MAENEO YA TABATA KIMANAGA INAITWA AMBA RECORDS. TAYARI NIMETOA FIRST SINGLE KUTOKA KATIKA STUDIO YANGU MPYA. WIMBO UNAITWA FALLING IN LOVE, MSANII NI K. MASSIVE, HUYU JAMAA NI MWANAFUNZI WA CHUO KIKUU CHA RUCO (ST. AUGUSTINE - IRINGA) NA NI MKAZI WA MBEYA. PIA KATIKA WIMBO HUU AMENISHIRIKISHA KATIKA KIBWAGIZO (CHORUS).
NAPENDA KUTANGULIZA SHUKURANI ZANGU KWA USHURIKIANO AMBAO MTAZIDI KUONESHA KWA WASANII NA MUSIC PRODUCERS WENGINE KATIKA MUZIKI WETU HUU WA KIZAZI KIPYA.
ASANTENI".
One Responses to "AMBA AHAMISHIA MAJESHI DAR"