Mdau wea blog hii, Janet naye pia alikuwepo
Fide na wadau wengine wa mitindo walikuwepo
Maonesho ya mavazi yaliyopewa jina la Swahili Fashion, yaliyoandaliwa na mwanamitindo Mustapha Hassanal yalifanyika jana ndani ya Ukumbi wa Karimjee, Dar na kuhudhuriwa na wadau kibao. Maonesho hayo yataendelea tena kesho.
Friday, November 5, 2010
Posted in | |
0 Comments »
One Responses to "SWAGA ZA SWAHILI FASHION HIZI HAPA"