Hatimaye kundi la Hotpot Family limeibuka tena likiwa na sura mpya. Je, nini wamerudi nacho na malengo yao kunako game hii? Bila kusahau majina ya memba wapya na kauli ya kiongozi wao, Soggy Dog usikose kucheki ShowBiz ya Gazeti la Ijumaa litakalotoka Ijumaa ya wiki hii.
Tuesday, September 14, 2010
Posted in | |
0 Comments »
One Responses to "UJIO MPYA WA HOTPOT FAMILY"