ILI MUZIKI WETU UWEZE KWENDA KIMATAIFA NI LAZIMA TUBADILIKE, SAPOTI YAKO PIA MUHIMU

Walianza kama utani, lakini kadri siku zinavyozidi kwenda hali inazidi kuwa mbaya kwani hivi sasa wamefikia hatua ya kuchanana laivu kupitia baadhi ya vyombo vya habari, kibaya zaidi kila mmoja akionesha nia ya kutaka kuzichapa na mwenzie. Je mwisho wake utakuwa nini?
Nawazungumzia vijana wawili walioingia kwenye mradi wa muvi Bongo hivi karibuni, Yusuf Mlela na Hemed ambao wanazidi kuwaacha mashabiki wao njia panda bila kujua kama bifu lao lina ukweli wowote au la!
Blog hii kama mdau wa burudani imeamua kuingilia kati ikikutaka wewe msomaji na mdau wa filamu Bongo uwape ushauri wasanii hawa kupitia hapa ili urafiki wao urudi kama zamani, ikiwezekana waendelee kufanye kazi pamoja. Tuandikie SMS kupitia 0718-110173 au email: mcgeorge2008@gmail.com.

Friday, September 3, 2010 Posted in | | 0 Comments »

One Responses to "WAPE USHAURI MLELA, HEMED"

Write a comment