ILI MUZIKI WETU UWEZE KWENDA KIMATAIFA NI LAZIMA TUBADILIKE, SAPOTI YAKO PIA MUHIMU


Wasanii Hamis Mwinjuma ‘MwanaFA’ na Ambwene Yesaya ‘A.Y’ Jumapili wiki hii watatambulisha ‘projekti’ yao mpya ikiwemo ngoma yao ‘Usije mjini’ ndani ya Club Bilicanas. Pia A.Y atatoa shukrani kwa mashabiki wake waliomsapoti na kufanikiwa kupata tuzo kama msanii Bora wa Afrika Mashariki na Kati zilizotolewa nchini Ghana hivi karibuni


Friday, June 18, 2010 Posted in | | 0 Comments »

One Responses to "A.Y, FA KUITANGAZA PROJECT YAO CLUB JUMAPILI HII"

Write a comment