Aliyekua mmiliki wa Bendi ya Chuchu Sound, Yusuf Chuchu a.k.a Mzee Chuchu alifariki dunia huko Nairobi, Kenya Juzi na kuzikwa nyumbani kwao Mwanakweleke, Zanzibar jana Mungu aiweke roho yake mahali pema peponi. AMEN
Sunday, June 6, 2010
Posted in | |
0 Comments »
One Responses to "BURIANI YUSUF CHUCHU"