ILI MUZIKI WETU UWEZE KWENDA KIMATAIFA NI LAZIMA TUBADILIKE, SAPOTI YAKO PIA MUHIMU

Kwa wale ambao hawajafahamu maana ya neno "KULIPUKA" wacheki na picha hii. Hapa mdogo wangu Robert wa www.burudanikilasiku.blogspot.com ntakuwa nimemkosha ile mbaya, anaweza akaambulia staili hata moja.

Sunday, June 13, 2010 Posted in | | 0 Comments »

One Responses to "UNAJUA MAANA YA NENO KULIPUKA?"

Write a comment