ILI MUZIKI WETU UWEZE KWENDA KIMATAIFA NI LAZIMA TUBADILIKE, SAPOTI YAKO PIA MUHIMU

Kutoka pande za TMK vijana wawili walioamua kuanzisha vita ya maneno, Temba na Chegge Ijumaa ya wiki hii wataitambulisha albamu hiyo 'Vita Uwanjani' pale ndani ya Club Sun Cirro, Sinza Dar huu wakipigwa tafu na wasanii kibao wakiwemo Wahu kutoka Kenya na Michael Rosse kutoka pande za UG a.k.a Uganda. Mimi pia ntakuwepo, kwanini na wewe usijisogeze pande hizo Ijumaaaaa!!!?

Tuesday, June 1, 2010 Posted in | | 0 Comments »

One Responses to "CHEGGE & TEMBA 'VITA UWANJANI' IJUMAA HII"

Write a comment