About Me
MC Logo
PHOTOS
SHOW BIZ HITZ
BONGO HITZ
OLD SCHOOL FLAVA
Blog Archive
-
▼
2010
(208)
-
▼
July
(20)
- HAPPY B'DAY TABIA
- MUSOMA, MWANZA JIPANGUSEEE!!!
- BEATRICE ADONDOSHA USHAURI BSS
- JIDE NDANI YA MIAKA 10
- RAY C AMPA GWALA MWISHO BBA
- EBWANA DAAH! WIKI HII
- TANGA JIPANGUSE, FURESHIIIIII!!!
- K-SHER AZINDUKIA KWA DAKTARI DOM
- Q CHILLER KUZIPOTEZEA KOLABO
- U-CRAZY WA KANUMBA UKO HUMU
- MWISHO, TATIANA NDANI YA BBA ALL STAR
- MIAKA 92 YA MZEE MADIBA LEO
- CHILLER BACK AGAIN
- EBWANA DAAAAAH!!
- WATOTO WA BEATRICE HAWAMZUII KUFANYA GAME
- MKUBWA NDANI YA KASWIDA!
- FIESTA DOM KESHO, RRAAAAA!!!
- JIPANGUSE, RRAAAAAAAA!!, RRAAAAAAA!!!
- MORO WALIVYOANZA KUJIPANGUSA
- KALA HANA HAMU NA MADEMU WA KIBONGO
-
▼
July
(20)
G5 WORLD
ILI MUZIKI WETU UWEZE KWENDA KIMATAIFA NI LAZIMA TUBADILIKE, SAPOTI YAKO PIA MUHIMU
Kuanzia leo kupitia hapa nitakuwa nawadondoshea uhusiano wa mastaa mbalimbali wa kiwanja, yaani nani anajiachia na nani na aliwahi kuwa na uhusiano na nani. Kwa kuanza leo tunacheki na staa wa muziki wa R&B, Leona Lewis. Kama hujafahamu kuhusu maisha yake ya uhusiano, amewahi kutoka na mmoja tu ambaye ameweza kujulikana na kuwekwa wazi.
Lou Al-chamaa ndiye anayetajwa kwamba kuanzia mwaka 2002 mpaka sasa, wamekuwa pamoja na hakuna mwanaume yeyote aliyewahi kuweka chata zaidi ya jamaa huyo.
Hata hivyo, hivi karibuni kuna uvumi ulichukua nafasi kwamba wawili hao wameachana, ingawa hakuna kati yao aliyejitokeza na kuzungumzia taarifa hizo kama zina ukweli au ni longolongo.
Jina lake kamili ni Leona Lewis, umri wake ni miaka 25, urefu wake ni futi 5.7. Alizaliwa Aprili 3, 1985, Islington, London, Uingereza. Ebwana dah! Pia inapatikana ndani ya Gazeti la Ijumaa Wikienda litokalo kila siku ya J’tatu. Hakikisha ulikosi.
Read More......Jipangusee, Rrraaaaaa!! Ndiyo kauli mbiu ya tamasha kubwa la Fiesta 2010 ambalo hufanyika mara moja kila mwaka na kuwakutanisha wasanii kibao kutoka ndani na nje ya Bongo.
Kwa mujibu wa waandaaji, Primetime Promotion, mwaka huu mpango mzima ulianzia pande za Morogoro Julai 7 na kuendelea pale Matongee Club, Arusha Julai 9 ikifuatiwa na Kilimanjaro Julai 10, wilayani Moshi ndani ya Club La Liga.
Baada ya Kilimanjaro shoo itahamia Dodoma, Tanga, kabla ya kurudi Dar es Salaam mwisho wa mwezi huu, kisha Zanzibar, Musoma na sehemu nyingine kibao.
Wasanii kama Mwasiti Almasi ‘Mwasiti’ anayefanya vyema na ngoma yake, ‘Siyo kisa pombe’, Diamond, Madee na wengine kibao ni miongoni mwa vichwa vitakavyosababisha shangwe za ‘Kujipangusa’ katika tamasha hilo la kijanja. Wote sema Rrrrraaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!
Kutoka pande za Uganda a.k.a UG, mwana Hip Hop wa Kibongo, Kala Jeremiah amesema na ebwana daah kwamba zaidi ya miezi miwili sasa yuko nchini humo akipiga madude ya ukweli ikiwa ni njia mojawapo ya kujipanga ili arudi kivingine na pia amefanikiwa kummiliki sista duu wa kona hizo za Museven.
“Niliondoka Bongo zaidi ya miezi miwili iliyopita baada ya kumpata mtu ambaye atasimamia kazi zangu fresh ambaye anaishi huku Uganda, kwa bahati nzuri pia nikafanikiwa kukutana na mrembo huyo ambaye nampenda kupita kiasi tukaanzisha uhusiano. Niliamua kufanya hivi baada ya kuumizwa na mademu wa Kibongo ambao kwangu nawaona kama wazinguaji,” alisema Kala.
Mchizi ambaye kimuziki alijulikana kupitia shindano la kusaka vipaji la BSS mwaka 2007 na kushika nafasi ya nne, alisema kwamba wasichana wengi wa Kibongo hawana mapenzi ya dhati zaidi ya kuweka mkwanja mbele kitu ambacho kinawafanya wasidumu na wanaume.
“Mimi pia nilikuwa nashangaa, hapo Bongo nilikuwa na bahati ya kupata wasichana wazuri lakini sikuwahi kudumu nao, naamini huyu wa huku baadaye anaweza kuwa mke wangu wa milele,” alisema Kala ambaye alikiri kuwa kila akifikiria kurudi nyumbani Tanzania mrembo huyo ambaye hakumtaja jina anahisi kama anamzuia kwa jinsi alivyompenda.
KARIBU SANA
JE, WEWE NI MJANJA?
UNAJUA KUDANSI?
SHOUT OUT !!
Followers
My Blog List
-
-
-
-
SIMBA SC. YAWEKA SOKONI MAJI YAKE!8 years ago
-
-
HARD PRICE COMING SOON10 years ago
-
-
-
Aslay Akifanya Vitu vyake13 years ago
-
-
-
-