ILI MUZIKI WETU UWEZE KWENDA KIMATAIFA NI LAZIMA TUBADILIKE, SAPOTI YAKO PIA MUHIMU

Adamu wa Visuala Lab akiongoza zoezi
Bosi Ruge akimuelekeza kitu Adam
Wasanii wakiendelea kurekodiwa
Baadhi ya wasanii wa muziki wa kizazi kipya zaidi ya 30 jana walikuwa 'tait' wakirekodi video ya wimbo waliyorekodi kwa ajili ya sherehe za miaka 50 ya Uhuru wa Bongo ambazo hufanyika kila mwaka, Desemba 9.

Read More......
Wednesday, May 18, 2011 Posted in | | 0 Comments »

Maisha ni popote, kwanini niendelee kuishi mjini wakati sina mafanikio yoyote? Wewe mwenzangu uko poa? Kama vipi siyo mbaya tukiungana kwenye msafara huu tukafufue mashamba yetu na ishu nyingine za huko- GEORGE MC

Read More......
Thursday, May 5, 2011 Posted in | | 0 Comments »