ILI MUZIKI WETU UWEZE KWENDA KIMATAIFA NI LAZIMA TUBADILIKE, SAPOTI YAKO PIA MUHIMU

Rais akisaini kitabu cha maombolezo
...hapa akisalimiana na Rich masanii wa Bongo Muvi
...hapa akiwa na JB
...akibadilishana mawazo na wasanii wa Bongo muvi
...akiongea na umati wa waombolezaji waliyopo nyumbani kwa Marehemu Kanumba, Sinza, Vatcan, Dar es Salaam alipokuwa akiondoka eneo hilo jana asubuhi

Read More......
Monday, April 9, 2012 Posted in | | 0 Comments »

Kila tulipokutana alinipa moyo katika sanaa yangu ya muziki
Nimeamini kizuri hakidumu
Nguzo ya tasnia ya muvi Bongo imeondoka ghafla na kuacha simanzi kwa maelfu ya Watanzania na mashabiki wake walio nje ya nchi. Tangulia Kanumba, kwani hiyo ni safari yetu sote japo hatujui nani ataziba pengo lako. Sisi tuliyobaki tunajukumu kubwa la kuhakikisha tunaendeleza pale ulipoishia. Pole nyingi zitue kwa familia ya marehemu na wote wenye simanzi kama mimi. Tangulia The Great, tuko nyuma yako.

Read More......
Sunday, April 8, 2012 Posted in | | 0 Comments »

Afande na 'shosti' wake, 20 Pa
Maswahiba wawili kunako game ya muziki wa kizazi kipa, Selemani Msindi 'Afande Sele' na Hamis Shaban Kinzasa "20% au Twenty Pa' leo wameburuzwa kwa pilato huko mjini Morogoro wakidaiwa kuvamia sehemu na kusababisha vurugu.
Kwa mujibu wa mdau mmoja wa ebwanadaah aliyeko pande hizo, Afande na 'shosti' wake huyo walidakwa na polisi jana na kutupwa selo kabla hawajafikishwa mbele ya pilato leo, ambapo kesi hiyo imepigwa kalenda mpaka itakaposomwa tena siku kadhaa zijazo. Zaidi kuhusu ishu hiyo endelea kuchungulia ebwanadaah.

Read More......
Wednesday, April 4, 2012 Posted in | | 0 Comments »