
Kwa mujibu wa mdau mmoja wa ebwanadaah aliyeko pande hizo, Afande na 'shosti' wake huyo walidakwa na polisi jana na kutupwa selo kabla hawajafikishwa mbele ya pilato leo, ambapo kesi hiyo imepigwa kalenda mpaka itakaposomwa tena siku kadhaa zijazo. Zaidi kuhusu ishu hiyo endelea kuchungulia ebwanadaah.
Wednesday, April 4, 2012
Posted in | |
0 Comments »
One Responses to "AFANDE SELE, 20 PA WABURUZWA KWA PILATO"