ILI MUZIKI WETU UWEZE KWENDA KIMATAIFA NI LAZIMA TUBADILIKE, SAPOTI YAKO PIA MUHIMU

Read More......
Friday, December 31, 2010 Posted in | | 0 Comments »

Read More......
Posted in | | 0 Comments »

Hapa nikiingiza 'voko' 24/7 Rec
Kisha ikafuata zamu ya Zuhura
Producer wangu Villy akiwa kwenye mashine
Ikafika zamu ya kugonga video, hapa nikiwa na Dir. Malcom akimaliza 'editing'
Hawa ndiyo warembo waliyoipamba video hiyo ya ngoma ya Hadithi

Baada ya kukaa nje ya sanaa ya muziki kwa takribani miaka 8 nimeamua kurudi tena ili kuiongezea nguvu game yetu nikiwa na new idea. Kwa kuanza nimefanikiwa kurekodi ngoma mbili, Historia na Hadithi zote zikiwa zinasikika kupitia vituo kadhaa vya redio, huku moja (Hadithi) ikiwa tayari imefanyiwa video ambayo itaanza kuruka hivi karibuni ikiwa ni zawadi ya mwaka mpya wa 2011. Mbali na kumpa shavu Zuhura katika ngoma hizo pia ndani ya Hadithi nimejaribu kuibua vipaji vya watoto kwa kuwapa nafasi ya kuimba kwenye koras. So wewe kama mdau na mpenzi wa burudani natumai utanipokea kwa mikono miwili. Video itadondoka hapa siku chache zijazo. KWA PAMOJA TUTAUFANYA MUZIKI WETU UVUKE MIPAKA NA KWENDA MBALI ZAIDI.

Read More......
Monday, December 27, 2010 Posted in | | 0 Comments »

Mimi na Nature
Mimi, Dj Choka na mdau
Mimi na Linex

Merry Christmas wadau, marafiki na washikaji wote tunaokutana hapa ebwanadaah. Nawatakiwa sikukuu yenye amani na utulivu, kwa pamoja tutafiki malengo hasa kwa mwaka mpya unaokuja. NAWAPENDA WOTE

Read More......
Friday, December 24, 2010 Posted in | | 0 Comments »


Mimi na mshikaji wangu D Zoga wa Kantri FM (kulia)

Ebwanadaah inatoa pole za kutosha kwa mtangazaji wa kituo cha Redio 'Kantri' cha Iringa, Denis Mlowe a.k.a D Zonga kwa kufiwa na mama yake mzazi wiki hii na mazishi kufanyika huko huko Iringa. Bwana alitoa na Bwana ametwa, jina lake lihimidiwe.

Read More......
Posted in | | 0 Comments »

Gasnizzo msanii chipukizi anayehisi kafanana na Blue kisura na muonekano
Blue orijino


"Hi mkumbwa me niko pao ile mbaya. Salamu hizi zimfikie Mr Blue na Mashalobalo wote

sasa ni muda wa Gasnizzo mtalam wa mapozi kuja kuwashika.Tayari nimeshafanya wimbo unaokwenda kwa jina la 'Sometimes' huku ngoma nyingine yenye jina la 'Dedication' ikiwa jikoni. Ni nyimbo ambazo nazikubali na mashabiki wangu wengi pia wameanza kunielewa."

Read More......
Sunday, December 19, 2010 Posted in | | 0 Comments »


Kama Botswana wameweza kuusapoti muziki wao wa asili na kufanikiwa kuliteka soko karibu ulimwengu mzima, sisi kwanini tunashindwa? Hebu jiulize kama kweli wewe ni Mtanzania halisi. Hii ilikuwa juzi pale Landmark Hotel, Dar.

Read More......
Posted in | | 0 Comments »

Kutoka kwa mdau na 'katunisti' wa siku nyingi, Fadhil Mohamed. Graphics zimefanywa na MC George

Read More......
Posted in | | 0 Comments »

Mpiga drum wa Bendi ya African Stars 'Twanga Pepepta', Abuu Semhando 'Baba Diana' amefariki dunia usiku wa kumkia leo baada ya kugongwa na gari akiwa kwenye pikipiki maeneo ya Mbezi Africana, Dar es Salaam alipokuwa akitoka kwenye onesho la bendi yake lililofanyika mitaa hiyo.

Read More......
Friday, December 17, 2010 Posted in | | 0 Comments »

Memba wa kundi lililowahi kufanya vyema katika game ya muziki wa Bongo Flava kwenye miaka ya 2000, BWV lenye maskani yake pande za Mwanza, Hamad Salehe 'Cool D' (aliyechuchumaa pichani juu) amefariki dunia jana na kuzikwa leo kwenye makaburi Kirumba huko huko Rock City.
Akipiga stori na ebwanadaah aliyekua kiongozi wa kundi hilo ambaye hivi sasa ni mtangazaji wa kituo cha Redio Passion FM, Phillibert Kabago alisema kuwa mshikaji alikuwa akisumbuliwa na maradhi kwa muda wa wiki kadhaa mpaka mauti yalipomchukua jana.
Akiwa na kundi hilo, enzi za uhai wake marehemu Cool D na mwezake Kabago walifanikiwa kutoa albamu moja yenye jina la nawashangaa, iliyosimama kwa ngoma kama 'Bosi nipe mshahara wangu', 'Mwanza zirekebishwe barabara' na nyingine.
Blog hii inatoa pole kwa ndugu, jamaa na marafiki waliofikwa na msiba huo. Mungu aiweke roho ya marehemu mahali pema peponi. Amina

Read More......
Monday, December 13, 2010 Posted in | | 1 Comments »

Read More......
Sunday, December 12, 2010 Posted in | | 0 Comments »

Read More......
Posted in | | 0 Comments »

Read More......
Posted in | | 0 Comments »

Read More......
Posted in | | 0 Comments »

Read More......
Posted in | | 0 Comments »



Baada ya kusafiri na kupiga shoo kadhaa katika nchi za Dubai na kwingineko, zali limeendelea kumdondokea Berry Black. Siku chache zijazo atashuka nchini Ujerumani na kuangusha shoo kadhaa.

Read More......
Friday, December 10, 2010 Posted in | | 0 Comments »

Baadhi ya wanamuziki wa Akudo
Viongozi wapya wa Akudo, George Kyatika (kulia) na Gabriel Kisanga

Bendi ya muziki wa dansi, Akudo Impact imejiandaa kuukabili mwaka 2011 kwa kuimarisha safu ya uongozi na baadhi ya mabadiliko ambayo yatawafanya kusimama vyema kwa msimu ujao.

Akipiga stori na ebwanadaah juzi, George J. Kyatika ambaye ni afisa uhusiano mpya wa bendi hiyo alisema kwamba AKUDO ni moja ya bendi za muziki wa dansi nchini ambazo zimefanikiwa na kuweka historia ya kipekee katika nyanja ya burudani. Kwa kutambua hilo juhudi binafsi zinafanyika kuhakikisha heshima hiyo haitoweki wala kupungua bali kukuzwa na kuongezeka maradufu.

"Tayari tumejipanga upya kuja na albamu nyingine iliyosheheni nyimbo zitakazosisimua na kuwagusa vilivyo wapenzi na mashabiki wa muziki. Baada ya kusema hayo naomba niitambulishe safu nyingine ya uongozi ambayo ni ndugu Gabriel J. Kisanga ambaye ni Meneja Masoko. Pia nawafahamisha kuwa rapa wetu Canal Top amerudi nyumbani, baada ya kusemwa mengi kuhusu kuhama kwake" alisema George.

Ifuatanyo chini ni ratiba ya shoo za Akudo Impact kwa mwezi huu wa Desemba.

11/12 JUMAMOSI KIGAMBONI

12/12 JUMAPILI MSASANI BEACH

17/12 IJUMAA MANGO GARDEN

18/12 JUMAMOSI FK KIMARA TEMBONI

19/12 JUMAPILI MSASANI

24/12 IJUMAA VIGAE CLASSIC

25/12 JUMAMOSI MSASANI BEACH

26/12 JUMAPILI MSASANI BEACH

29/12 JUMATANO CLUB SUNSIRO

31/12 IJUMAA MANGO GARDEN


Read More......
Posted in | | 0 Comments »

Walter na mkewe, Ade
Kitu cha Ndafu
Bwana harusi akiwalisha wakwe ndafu
Madada na Makaka wa bwana harusi walipopeleka zawadi
Godwin Gondwe 'Double G' aliongeza sherehe nzima
Maharusi wakifungua muziki
Mara wote tukaingia kati
Dada wa Bw. Harusi, Jessica "Sweetie' akichukua picha kwa simu
Shoo iliendelea
Mimi na bibi harusi
Sweetie katika pozi
Mimi (kulia) Bw. Harusi na Clarence

Jana ilikuwa ni siku ya furaha kwa rafiki yangu mpendwa, Walter Rumisha na mkewe, Ade baada ya kufunga ndoa katika Kanisa la Azania Front na kufuatiwa na sherehe ya nguvu iliyofanyika ndani ya Ukumbi wa Lion Hotel, Sinza, Dar es Salaam. Hongereni sana, nawatakia maisha mema ya ndoa.

Read More......
Sunday, December 5, 2010 Posted in | | 0 Comments »

A.Y stejini
A.Y na FA
Fid Q pia aliwakilisha pande hizo
Kutoka pande za Rock City (Mwanza) jana ilipigwa shoo kali kwa ajili ya uzinduzi wa kituo cha Capital Redio cha Dar es Salaam. Fid Q, A.Y, Mwana FA na wasanii wengine kibao walihusika stejini.

Read More......
Posted in | | 0 Comments »

Didas
Didas & Chiller (kushoto)
Didas na mdau
Q Chiller

Kutoka pande za UK huyu hapa ni Didas, mwanadada wa Kibongo ambaye anaendelea kugfanya mambo makubwa nchini humo na Afrika kwa ujumla kupitia kampuni yake yenye jina la Didas Facion inayodili na promotion za fashions pamoja na wasanii wa muziki kutoka Afrika Mashariki.
Akipiga stori na ebwanadaah kwa njia ya simu kutoka Uingereza, Didas alisema kwamba, kampuni yake ambayo pia ina matawi Tanzania na Uganda imewahi kupiga kazi na mastaa wa Kibongo kama Bushoke, Matonya, Q chillah, bendi ya FM Academia na wengine.
"Didas Facion yenye umri wa miaka nane sasa ilianza kazi zake rasmi 2002, wakati huo ikidili zaidi na dawa za kupunguza unene na afya kwa ujumla na ilijulikana kama Didas Health Care. Mwaka 2005 tuliamua kubadilika na kujitupa kwenye ishu za Fashions na Promotions za wasanii kazi ambayo tunaifanya mpaka sasa," alisema Didas.
Mrembo huyo alisema kwamba, mpaka sasa Didas Fashion inamiliki baadhi ya wasanii wa muziki wa Bongo Flava, yaani Q Chiller, The blind sound, na Clipstar. "Siku za nyuma Didas Facion ilikuwa inamiliki wasanii zaidi ya 24 wakiwemo underground ambao baada ya kulipiwa studio na kufanikiwa kurekondi kazi zao wakaingia mitini. Tuliamua kuachana na chipukizi hao na kubaki na hao watatu
wakiongozwa na Q Chillah."
Kazi kubwa inayofanywa na Didas Facion hivi sasa ni kumrudisha Q Chiller kwenye game baada ya kuwa kimya kwa muda mrefu. Kitakachofuata hivi karibuni ni ziara ndefu za Chiller nchi za nje, kama Europe, America na Africa ya mbali.
Kiukweli Didas ni mwanadada ambaye anastahili kuigwa na wanawake wote duniani kwani anajituma katika kutafuta maisha na anayependa maendeleo ya watu wengine kitu ambacho kinamfanya aendelee kufanikiwa.

Read More......
Tuesday, November 30, 2010 Posted in | | 0 Comments »

"HALOW! MAMBO VIPI! MIMI NI PRODUCER AMBA. JINA LANGU KAMILI NI AMBANGILE MBWANJI. NDIE NLIEFANYA NYIMBO ZA HUSSEIN MACHOZI KAMA FULL SHANGWE, KWAAJILI YAKO, UTAIPENDA, NA ZA MWIZI PIA NIMEFANYA NYIMBO ZINGINE KAMA NAKUPENDA SANA HIP HOP YA ROHO SABA, TO NIGHT YA YAKI, NA SARAHA YA RAMA DEE.


NASHUKURU SANA KWA MSAADA NA SUPPORT MNAYO NIPA KATIKA KUENDELEZA SANAA HII YA MUZIKI. NAUTAMBUA SANA MCHANGO WENU.


KWA SASA NIMEFUNGUA STUDIO YANGU DAR ES SALAAM MAENEO YA TABATA KIMANAGA INAITWA AMBA RECORDS. TAYARI NIMETOA FIRST SINGLE KUTOKA KATIKA STUDIO YANGU MPYA. WIMBO UNAITWA FALLING IN LOVE, MSANII NI K. MASSIVE, HUYU JAMAA NI MWANAFUNZI WA CHUO KIKUU CHA RUCO (ST. AUGUSTINE - IRINGA) NA NI MKAZI WA MBEYA. PIA KATIKA WIMBO HUU AMENISHIRIKISHA KATIKA KIBWAGIZO (CHORUS).


NAPENDA KUTANGULIZA SHUKURANI ZANGU KWA USHURIKIANO AMBAO MTAZIDI KUONESHA KWA WASANII NA MUSIC PRODUCERS WENGINE KATIKA MUZIKI WETU HUU WA KIZAZI KIPYA.


ASANTENI".

Read More......
Posted in | | 0 Comments »


Kwa niaba ya Backyard Studio naomba nitoe tena fulsa ya pekee kwa Wasanii wote nchini iwe vikundi au mmoja mmoja kurecord nyimbo BURE kuanzia tarehe 30/11/2010 hadi tarehe 09/12/2010. Nyimbo hizo ziwe mahususi kwa ajili ya kusaidia, kuhamasisha jamii na kuelimisha kuhusu janga la Ukimwi linalo tukabili.


Dhumuni la Backyard kwa sasa ni kusaidia Jamii katika Majanga yote ya kitaifa kwa kupitia Sanaa. Tunaamini Ukimwi ni moja ya Janga kubwa sana linalo pelekea Serekali na Jamii kutumia pesa nyingi, muda na maarifa katika kutaka kuokoa maisha ya ndugu na jamaa zetu sambamba na kutokomeza gonjwa hili. Wasanii ni watu muhimu sana na naamini wakiamua kupiga kampeni hii ujumbe utafika na yote haya yana wezekana.


Naomba nyimbo ziwe za kweli zenye uwezo wa kukaa kwa muda mrefu zaidi na ambazo zitavutia jamii kusikiliza na ujumbe kuwafikia pale walipo ndani ya kipindi chote si wakati wa maadhimisho haya tu.


Tuwasiliane ili tupeane utaratibu wa kufuata japo hakuna mashari. Ahsante


Braton (Backyard Records)

S.L .P 14663 D'Salaam

Tanzania

+255 713 888 779.


Read More......
Posted in | | 0 Comments »


Hello ma fans, mambo vipi? Niko pande za Mwanza namalizia muvi yangu ya pili, yenye jina la Trafic Pori, natarajia kurudi Dar Jumamosi hii baada ya kazi nzito ya kurekodi"

Read More......
Friday, November 26, 2010 Posted in | | 0 Comments »

Read More......
Posted in | | 0 Comments »

NA.


OFISI/WIZARA


WAZIRI



NAIBU WAZIRI


1.


Ofisi ya Rais





1. WN – OR – Utawala Bora

Mathias Chikawe


2. WN – OR – Mahusiano na Uratibu

Stephen Wassira




2.


Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma





Hawa Ghasia



3.


Ofisi ya Makamu wa Rais




1. Muungano

Samia Suluhu


2. Mazingira

Dr. Terezya Luoga Hovisa




4.


Ofisi ya Waziri Mkuu




1. Sera, Uratibu na Bunge

William Lukuvi


2. Uwekezaji na Uwezeshaji

Dr. Mary Nagu




5.


Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI)




George Huruma Mkuchika


1.Aggrey Mwanri




2. Kassim Majaliwa



6.


Wizara ya Fedha




Mustapha Mkulo


1. Gregory Teu



2. Pereira Ame Silima


7.


Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi




Shamsi Vuai Nahodha


1. Balozi Khamis Suedi Kagasheki


8.


Wizara ya Katiba na Sheria




Celina Kombani






9.


Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa





Bernard K. Membe


1. Mahadhi Juma Mahadhi


10.


Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa




Dr. Hussein Ali Hassan Mwinyi



11.


Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi





Dr. Mathayo David Mathayo


1. Benedict Ole Nangoro


12.


Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia




Prof. Makame Mnyaa Mbarawa


1. Charles Kitwanga


13.


Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi




Prof. Anna Tibaijuka


Goodluck Ole Madeye


14.


Wizara ya Maliasili na Utalii






Ezekiel Maige



15.


Wizara ya Nishati na Madini






William Mganga Ngeleja


1. Adam Kigoma Malima


16.


Wizara ya Ujenzi






Dr. John Pombe Magufuli


1. Dr. Harrison Mwakyembe





17.


Wizara ya Uchukuzi






Omari Nundu


1. Athumani Mfutakamba


18.


Wizara ya Viwanda na Biashara






Dr. Cyril Chami


Lazaro Nyalandu


19.


Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi





Dr. Shukuru Kawambwa


1. Philipo Mulugo


20.


Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii






Dr. Haji Hussein Mpanda


1. Dr. Lucy Nkya


21.


Wizara ya Kazi na Ajira






Gaudensia Kabaka


Makongoro Mahanga


22.


Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto





Sophia Simba


Umi Ali Mwalimu


23.


Wizara ya Habari, Vijana na Michezo






Emmanuel John Nchimbi


1. Dr. Fenella Mukangara


24.


Wizara ya Ushirikiano wa Afrika Mashariki




Samuel John Sitta







1. Dr. Abdallah Juma Abdallah


25.


Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika






Prof. Jumanne Maghembe


1. Christopher Chiza


26.


Wizara ya Maji






Prof. Mark James Mwandosya


Eng. Gerson Lwinge

Read More......
Wednesday, November 24, 2010 Posted in | | 0 Comments »