
Wakati makundi mawili yaliyoungana kuangusha burudani, TMK Wanaume Family na Tip Top Connection yakiendelea kufanya maajabu katika shoo zake pale yalipodondoka pande za Vavy, Kigamboni mwishoni mwa wiki iliyopita na kufunika mbaya, misiba imeendelea kuchukua nafasi kunako mradi wa muziki wa kizazi kipya.
Mmoja wa wasanii waliyopo katika muungano huo, Amani James Temba a.k.a Mh. Temba katikati ya wiki iliyopita alifiwa na shangazi yake kitu kilichomfanya awe ndani ya wakati mgumu ukizingatia kwamba kifo hicho kilitokea Wilayani Moshi, Kilimanjaro huku yeye akiwa Dar es Salaam anapoishi.
Akipiga stori na safu hii ndani ya ufukwe wa Navy, Kigamboni walipokuwa wakifanya shoo, Temba alisema kwamba, msiba huo ni pigo kwake na kwa ndugu zake wengine kwani Shangazi yake huyo alikuwa na mchango mkubwa ndani ya familia yao. “Yaani hapa nilipo niko safarini, baada ya shoo usiku huu naondoka kuelekea Moshi kwa ajili ya kuwahi mazishi,” alisema Temba.
Msanii huyo alisema kwaba kutokana na ubize aliokuwa nao kunako game yake ya muziki alishindwa kuhudhuria kwenye misimba mingi iliyowahi kutokea kwenye familia yao lakini huu wa sasa hada budi kuhudhuria na kuungana na wanafamilia wengine katika majonzi.
Mbali na Temba, msanii mwinhine wa muziki huo aliyekumbwa na msiba hivi karibuni ni Mandojo abaye alifiwa na baba yake mzazi. Uwazi ShowBiz inawapa pole wasanii hao, yote hayo ni mapenzi yake Mungu, yatapita.
About Me
MC Logo
PHOTOS
SHOW BIZ HITZ
BONGO HITZ
OLD SCHOOL FLAVA
Powered by Blogger.
Blog Archive
-
▼
2009
(77)
-
▼
November
(13)
- IRINGA MKO TAYARI KWA MTIKISIKO?
- MIAKA 4 YA MPAKA HOME, FULL FURAHA
- KANUMBA ALIPOIBUKIA PANDE ZANGU
- JAYMAH AIWAKILISHA BONGO MALYSIA
- MBISHI NI TOZI WA MBAGALA?
- MUNGU MKUBWA, JITTA KITAANI TENA
- EBWANA DAAH! DULLAYO APIGWA KISU!
- TEMBA APATA MSIBA
- TMK & TIP TOP WAFUNIKA TENA KIGAMBONI
- SISTA DOI, ELIZA FULL HAPPY
- HUYU NDIYE R.O.M.A HALISI WA MR. PRESIDENT
- MADEE: SIKO NA PENDO JAMANI
- TMK, TIP TOP WAMALIZA KAZI BUKOBA
-
▼
November
(13)
G5 WORLD
ILI MUZIKI WETU UWEZE KWENDA KIMATAIFA NI LAZIMA TUBADILIKE, SAPOTI YAKO PIA MUHIMU
Sunday, November 15, 2009
Posted in | |
0 Comments »
KARIBU SANA
JE, WEWE NI MJANJA?
TEMBELEA DUKA LA KIJANJA, MC VIDEO CLASSIC LILILOPO KIBAMBA (NJIAPANDA YA SHULE), DAR ES SALAAM UJIPATIE MOVIE ZA KIBONGO, COLLECTIONS MOVIES, CD ZA MUZIKI WA GOSPEL, BONGO FLAVA, VIFAA VYA SIMU, UREMBO N.K. KARIBU SANA
UNAJUA KUDANSI?
JE, WEWE NI MKALI WA KUPIGA SHOO NA HAUJUI UTAFANYA NINI?. NJOO UJIUNGE NA BADUGU DANCES. CHEKI NA SISI 0715 110 173, 0787 110 173 , 0717-340387. TIMIZA NDOTO ZAKO.
SHOUT OUT !!
Followers
My Blog List
-
-
-
-
SIMBA SC. YAWEKA SOKONI MAJI YAKE!9 years ago
-
-
HARD PRICE COMING SOON11 years ago
-
-
-
Aslay Akifanya Vitu vyake14 years ago
-
-
-
-

One Responses to "TEMBA APATA MSIBA"