Mimi na mtu mzima Tippo, Mkurugenzi wa Zizzou Fashion

Haya mambo nina idea nayo coz niliwahi kufanya muziki siku za nyuma na inawezekana soon nikarudi tena. Simtanipokea?

Mimi, Samirah na Nkini

Manyota, Kulwa, Mimi na Abby Cool wa ShowBiz

Mimi, Amrani, Kayala na Manyota

Kama nilivyowadokeza jana, kuwa mimi na wafanyakazi wenzangu tunaelekea CHADIBWA BEACH, Kigamboni kwa ajili ya mapumziko mafupi baada ya kuumiza vichwa kwa kazi nyingi za ofisini. Hizo ni baadhi tu ya picha zinazoonesha tukiwa pande hizo. Kiukweli tuliinjoy sana na kupata nguvu mpya.
Sunday, October 3, 2010
Posted in | |
0 Comments »
One Responses to "W'KEND YETU ILIKUA HIVI"