Mtoto wa Mbagala, Diamond alipiga shoo
AT na fans wake

Mkubwa Fella na Dj waliongoza shoo nzima

TMK Family stejini

TMK Family Kazini

Mfalme wa Mchiriku Bongo, Omary Omary alikuwepo

Omary Omary

Buti ya Omary Omary

Kiduku kutoka kwa densa wa H.Mbizo

Hammer Q akiimba na Five Stars taarabu

Kundi la Five Stars liliangusha taarabu ya nguvu

Mkubwa Fella na Promota Bonga ndiyo waandaaji wa ishu hiyo

Mimi na Hammer Q pia tulikuwepo

Hammer Q, Berry Black, Shirko
Siku moja kabla ya uchaguzi Mkuu wa 2010, kundi la muziki wa kizazi kipya kwa kushirikiana na wasanii wengine wakali liliandaa onesho la ukweli kwa ajili ya kuwahamasisha vijana kujitokeza kwa wingi siku ya kupiga kura, ambalo lilipewa jina la Amka Kijana. Mpango mzima ulifanyika pale ndani ya Ukumbi wa Kata ya 14 Temeke, Dar.
Tuesday, November 2, 2010
Posted in | |
0 Comments »
One Responses to "AMKA KIJANA ILIVYOKUWA"