Friday, December 31, 2010
Posted in | |
0 Comments »
ILI MUZIKI WETU UWEZE KWENDA KIMATAIFA NI LAZIMA TUBADILIKE, SAPOTI YAKO PIA MUHIMU
Ikafika zamu ya kugonga video, hapa nikiwa na Dir. Malcom akimaliza 'editing'
Hawa ndiyo warembo waliyoipamba video hiyo ya ngoma ya HadithiBaada ya kukaa nje ya sanaa ya muziki kwa takribani miaka 8 nimeamua kurudi tena ili kuiongezea nguvu game yetu nikiwa na new idea. Kwa kuanza nimefanikiwa kurekodi ngoma mbili, Historia na Hadithi zote zikiwa zinasikika kupitia vituo kadhaa vya redio, huku moja (Hadithi) ikiwa tayari imefanyiwa video ambayo itaanza kuruka hivi karibuni ikiwa ni zawadi ya mwaka mpya wa 2011. Mbali na kumpa shavu Zuhura katika ngoma hizo pia ndani ya Hadithi nimejaribu kuibua vipaji vya watoto kwa kuwapa nafasi ya kuimba kwenye koras. So wewe kama mdau na mpenzi wa burudani natumai utanipokea kwa mikono miwili. Video itadondoka hapa siku chache zijazo. KWA PAMOJA TUTAUFANYA MUZIKI WETU UVUKE MIPAKA NA KWENDA MBALI ZAIDI.
Monday, December 27, 2010
Posted in | |
0 Comments »
Mimi, Dj Choka na mdau

Mimi na Linex
Merry Christmas wadau, marafiki na washikaji wote tunaokutana hapa ebwanadaah. Nawatakiwa sikukuu yenye amani na utulivu, kwa pamoja tutafiki malengo hasa kwa mwaka mpya unaokuja. NAWAPENDA WOTE
Read More......
Friday, December 24, 2010
Posted in | |
0 Comments »

Mimi na mshikaji wangu D Zoga wa Kantri FM (kulia)
Ebwanadaah inatoa pole za kutosha kwa mtangazaji wa kituo cha Redio 'Kantri' cha Iringa, Denis Mlowe a.k.a D Zonga kwa kufiwa na mama yake mzazi wiki hii na mazishi kufanyika huko huko Iringa. Bwana alitoa na Bwana ametwa, jina lake lihimidiwe.
Read More......
Posted in | |
0 Comments »
Gasnizzo msanii chipukizi anayehisi kafanana na Blue kisura na muonekano

Blue orijino
"Hi mkumbwa me niko pao ile mbaya. Salamu hizi zimfikie Mr Blue na Mashalobalo wote
sasa ni muda wa Gasnizzo mtalam wa mapozi kuja kuwashika.Tayari nimeshafanya wimbo unaokwenda kwa jina la 'Sometimes' huku ngoma nyingine yenye jina la 'Dedication' ikiwa jikoni. Ni nyimbo ambazo nazikubali na mashabiki wangu wengi pia wameanza kunielewa."
Read More......
Sunday, December 19, 2010
Posted in | |
0 Comments »
Kama Botswana wameweza kuusapoti muziki wao wa asili na kufanikiwa kuliteka soko karibu ulimwengu mzima, sisi kwanini tunashindwa? Hebu jiulize kama kweli wewe ni Mtanzania halisi. Hii ilikuwa juzi pale Landmark Hotel, Dar.
Read More......
Posted in | |
0 Comments »
KARIBU SANA
JE, WEWE NI MJANJA?
TEMBELEA DUKA LA KIJANJA, MC VIDEO CLASSIC LILILOPO KIBAMBA (NJIAPANDA YA SHULE), DAR ES SALAAM UJIPATIE MOVIE ZA KIBONGO, COLLECTIONS MOVIES, CD ZA MUZIKI WA GOSPEL, BONGO FLAVA, VIFAA VYA SIMU, UREMBO N.K. KARIBU SANA
UNAJUA KUDANSI?
JE, WEWE NI MKALI WA KUPIGA SHOO NA HAUJUI UTAFANYA NINI?. NJOO UJIUNGE NA BADUGU DANCES. CHEKI NA SISI 0715 110 173, 0787 110 173 , 0717-340387. TIMIZA NDOTO ZAKO.
SHOUT OUT !!
Followers
My Blog List
-
-
-
-
SIMBA SC. YAWEKA SOKONI MAJI YAKE!10 years ago
-
-
HARD PRICE COMING SOON12 years ago
-
-
-
Aslay Akifanya Vitu vyake15 years ago
-
-
-
-









