ILI MUZIKI WETU UWEZE KWENDA KIMATAIFA NI LAZIMA TUBADILIKE, SAPOTI YAKO PIA MUHIMU
Baada ya pilika za Sikukuu ya Pasaka sasa mishemishe zinaendelea, kaeni tayari kwa ngoma yangu mpya baada ya hiyo ya Hadithi. Sapoti yenu muhimu sana.Tukiwa tunaelekea kwenye kusheherekea Sikukuu ya Pasaka kesho Jumapili, siyo mbaya tukitakiana 'Easter' njema huku tukikumbuka mateso na kifo cha Yesu Kristo Msalabani. Kupitia hilo wewe Mkristo umejifunza nini? Ebwanadaah iko na wewe kwenye siku hiyo muhimu, inakuomba usheherekee kwa amani huku ukikumbuka kwamba, UKIMWI ni hatari kwa Taifa letu. Salamu zaidi ziwafikie Waifu wangu mtarajiwa (samahanini kwa kutomtaja jina), Mwanangu mpendwa Brian pamoja hawa...

Kwa mujibu wa uchunguzi uliyofanywa na ebwanadaah, Q Jay anaifanya idadi ya wasanii wa muziki wa kizazi kipya waliyomrudia Mungu wao kufikia zaidi ya watano akiwemo Zedawi aliyekua katika kundi lao, Wakali Kwanza.
Pia wasanii kama Renee Ramila, K-Basil, Spuller na wengine pia waliachana na muziki wa kizazi kipya na kurudi kundini. Kwa upande wa Nuruel aliwahi kutangaza kuachana na muziki wake na kuingia wenye nyimbo za Injili lakini baadaye alitoka huko na kurudi tena kwenye Bongo Flava bila kuweka wazi sababu hasa iliyomrudisha.
Read More......
Juzikati nilipata bahati ya kukutana na mmoja kati ya 'Mstraika' wa Timu ya Taifa ya wanawake (Twiga Stars) tukabadilishana mawazo kidogo. Kama wewe ni mpenzi wa soka nadhani utakuwa umemsoma. Nice Weekend watu wangu.
"Hi Tanzania, naitwa Abelnego Damian a.k.a Belle 9, nawakilisha Moro. Nilipe nisepe iliyofanyika ndani ya studio za Masanjuo Records chini ya producer Mona Gangstar ni ngoma yangu ya kwanza kuachia kutoka ndani ya albamu yangu ya pili yenye jina la Vitamin Music.Ni ngoma inayotetea haki ya mtu yoyote japokuwa nimeiandika kwenye mazingira ya kumdai mtu pesa. Wengi wakikopeshwa ni wazito kulipa mpaka mfikishane sehemu za sheria, tayari imeanza kufanya vizuri kupitia vituo vya redio na video yake ipo njiani, nimeingona kupitia Kampuni ya Visual Lab chini ya mtayarishaji Adamu Juma. Asanteni"
KARIBU SANA
JE, WEWE NI MJANJA?
UNAJUA KUDANSI?
SHOUT OUT !!
Followers
My Blog List
-
-
-
-
SIMBA SC. YAWEKA SOKONI MAJI YAKE!10 years ago
-
-
HARD PRICE COMING SOON12 years ago
-
-
-
Aslay Akifanya Vitu vyake15 years ago
-
-
-
-




















