

Ngoma ya Hip Hop inayochangamsha masikio kwa sasa, Msela ambayo imegongwa na
machizi wa kitambo kwenye game, Wateule inaweza kuibua maswali hasa kwa upande wa
video.
Iko hivi, ngoma hiyo ambayo imefanywa na wakongwe, Taikun Ally ‘Mox’, Juma
Mchopanga ‘Jay Moe’, Jafari Msham ‘Jafarai’ na Msafiri Kondo ‘Solo Thang’
inasikika kamili ikiwa na verse nne katika audio wakati kwenye video zipo tatu.
Tofauti kubwa ni hii, kwenye audio magalacha hao wamesimama wote, wakati katika
video Solo hayumo, yaani hajauza sura wala sauti yake haisikiki. Why? Jafarai
anajibu: “Ilibidi tufanye hivyo mzee, Solo yupo bize sana kwahiyo tulimkata
kwenye video ili kuiwahi ngoma kabla haijapotea kwenye game.
“Wakati tunafanya video Solo alikuwa anakabiliwa na mitihani, tukaona tumkate kwa
sababu alikuwa bado hajarekodi video na kutuma clip zake tuziunganishe, lakini no
sweti, kuna dude lingine tumelifanya, ‘Mtaani kuna njaa’ humo Solo ataonekana
kideoni.”
About Me
MC Logo
PHOTOS
SHOW BIZ HITZ
BONGO HITZ
OLD SCHOOL FLAVA
Powered by Blogger.
Blog Archive
-
▼
2009
(77)
-
▼
August
(27)
- NEY WA MITEGO MTEGONI
- TEMBA AGAIN, KUCHOMOKA NA ENIKA
- MADEE, BABU TALE NA ISHU MPYA KWA WALIYOJITOA TIP TOP
- KUTANA NA MAISHA YA CHEGGE CHIGUNDA
- MASTAA 10 WALIYOPIGANA CHINI 2009
- DOGO HII KITU INAPANDA?
- NIKO MTU 3 NDANI YA TRAKI MOJA
- ZE BIG TOLU HASHEEM AKIJIFUA
- WAREMBO WA KISWAHILI WALIPONITAIT KWA MASWALI
- EXCLUSIVE: TUNDA, SPARK WAPIGANA BIT
- PANDE ZA MOMBASA PIA ILIKUWA SHANGWE
- KINGWENDU APIGWA EM NA NUSU
- Ijumaa SHOWBIZ IKO MTAANI TENA, CHEKI MAUJANJA
- CHEKI MAISHA YA TUNDAMAN WA TIP TOP
- ABBY COOL & MC GEORGE OVER THE W'KEND
- iJUMAA SHOWBIZ
- IJUMAA SEXIEST BARCHELOR HAWA HAPA
- TMK, TIP TOP WALIVYOFUNIKA MORO, DOM
- MPAKA HOME KWA BABY MADAHA
- HUU NDIYO MKOKO WA TUNDAMAN
- MPAKA HOME IKO FULL
- NATURE VIPI?
- WAPE SHAVU BLACK RHINO, MWANA FA
- ABBY COOL & MC GEORGE OVER THE W/KEND
- TMK, TIP TOP WAFUNIKA TENA
- SOLO ALIKUWA TAITI NA MITIHANI -JAFARAI
- riday, August 7, 2009 MKUBWA NA WANAWE KITAANI ...
-
▼
August
(27)
G5 WORLD
ILI MUZIKI WETU UWEZE KWENDA KIMATAIFA NI LAZIMA TUBADILIKE, SAPOTI YAKO PIA MUHIMU
Sunday, August 9, 2009
Posted in | |
0 Comments »
KARIBU SANA
JE, WEWE NI MJANJA?
TEMBELEA DUKA LA KIJANJA, MC VIDEO CLASSIC LILILOPO KIBAMBA (NJIAPANDA YA SHULE), DAR ES SALAAM UJIPATIE MOVIE ZA KIBONGO, COLLECTIONS MOVIES, CD ZA MUZIKI WA GOSPEL, BONGO FLAVA, VIFAA VYA SIMU, UREMBO N.K. KARIBU SANA
UNAJUA KUDANSI?
JE, WEWE NI MKALI WA KUPIGA SHOO NA HAUJUI UTAFANYA NINI?. NJOO UJIUNGE NA BADUGU DANCES. CHEKI NA SISI 0715 110 173, 0787 110 173 , 0717-340387. TIMIZA NDOTO ZAKO.
SHOUT OUT !!
Followers
My Blog List
-
-
-
-
SIMBA SC. YAWEKA SOKONI MAJI YAKE!9 years ago
-
-
HARD PRICE COMING SOON11 years ago
-
-
-
Aslay Akifanya Vitu vyake14 years ago
-
-
-
-

One Responses to "SOLO ALIKUWA TAITI NA MITIHANI -JAFARAI"