ILI MUZIKI WETU UWEZE KWENDA KIMATAIFA NI LAZIMA TUBADILIKE, SAPOTI YAKO PIA MUHIMU

Dj Snox na mwanaye. Picha ndogo akiwa na JB Mkuu wa majaji (Mabaga Fresh)
Dj Snox (wa pili toka kushoto) akiwa na familia yake pamoja na mwaye

Taarifa zilizotua hapa muda mchache uliyopita zinasema kwamba, baba mzazi wa msanii Christom Mwingira 'Dj Snox' wa kundi la Mabaga Fresh amefariki dunia leo asubuhi katika Hospitali ya Mwananyamala, Dar es Salaam alikokuwa amelazwa. Mipango ya mazishi inaendelea nyumbani kwao Kigogo, Dar. Blog hii inatoa pole kwa Snox na nduguze wote kwa kumpoteza kiongozi huyo wa familia. Tunajua ni jinsi gani inavyouma hasa unapoondokewa na mzazi wako, lakini yote ni mipango ya Mungu.

Sunday, October 10, 2010 Posted in | | 0 Comments »

One Responses to "DJ SNOX WA MABAGA FRESH AFIWA NA BABA YAKE MZAZI"

Write a comment