Kutoka Rock City ishu yenye kutia tabasamu inasema kwamba, mtayarishaji muziki, Sandu George Mpanda ‘Kid Bwoy’ aliyekuwa amelazwa katika Hospitali ya Rufaa Bugando,jijini Mwanza baada ya kupigwa kwa kitu kizito kichwani na mtu asiyejulikana ameruhusiwa kutoka hospitalini hapo akiwa na ahueni tele.
Akipiga stori na ebwanadaah kwa njia ya simu juzi kati, rafiki wa karibu na Kid, Phillbert Kabago alisema kwamba, jamaa ameruhusiwa kutoka jana (majuzi) na hivi sasa yuko nyumbani kwao Lumala akijipanga kabla ya kurudi tena kwenye game.
Friday, October 8, 2010
Posted in | |
0 Comments »
One Responses to "KID BWOY ATOKA HOSPITALI"