Siku Julieth alipowabwaga wazungu na kuibuka na Taji la Miss World 2010

Nikimuonesha kazi ninazofanya ofisini

Hapa tukibadilishana mawazo

Pozi
Leo ofisini kwetu tulipata mgeni, Julieth William ambaye ni Miss World 2010 kupitishindano la urembo lililopewa jina la Progress International, lililofanyika huko Italia Septemba 26 mwaka huu.
Mimi kama mdau wa burudani nilipata nafasi ya kubadilishana naye mawazi ikiwemo kumuonesha baadhi ya kazi zangu nilizo desgner kwenye computer, alizifurahia.
Friday, October 8, 2010
Posted in | |
0 Comments »
One Responses to "USO KWA USO NA MISS WORLD 2010"