Sanduku lenye mwili wa marehemu
Marehemu Fabian Mwingira, Baba wa Dj Snox (Mabaga Fresh)
Snox na mwanaye
...hapa akiwa na memba mwenzake wa kundi la Mabaga, Jumanne 'JB' (kushoto)
...hapa akisaidiana na waombolezaji wengine kubeba sanduku lenye mwili
Msanii wa muziki wa kizazi kipya anayeunda Kundi la Mabaga Fresh, Christoms Mwingira a.k.a DJ Snox juzi Jumatano, alijumuika na waombolezaji wengine katika shughuli ya mazishi ya baba yake mzazi, Fabian Mwingira.
Akizungumza na ShowBiz msibani hapo Snox alisema kuwa msiba huo ni pigo kubwa maishani mwake hasa baada ya kupoteza wazazi wake wote wawili kwani mama yake pia alifariki hivi karibuni.
Friday, October 15, 2010
Posted in | |
0 Comments »
One Responses to "DJ SNOX WA MABAGA FRESH ALIVYOMZIKA BABA YAKE"