Shekhe Mkuu wa Temeke, Mohamed Mshindo Kingo akiongoza dua hilo Shekhe wa Wilaya ya Temeke akiomba dua
Baadhi ya Waislam waliohudhuria kwenye dua hilo
Baraza Kuu la Waislam Tanzania, BAKWATA Wilaya ya Temeke, Dar es Salaam limeandaa na kuendesha DUA maalum la kuutakia uchaguzi mkuu wa taifa ufanyike kwa amani na salama. Pia kuwahamasisha Waislamu wote waliyojiandisha wajitokeze kwa wingi kupiga kura siku hiyo ya Oktoba 31. Dua hilo ambalo limepangwa kufanyika katika kata zote za Temeke lilianza juzi kwenye Kata ya Chamazi na kuongozwa na Shekhe wa wilaya hiyo, Mohamed Mshindo Kingo.
Friday, October 8, 2010
Posted in | |
0 Comments »
One Responses to "WAISLAM WAOMBA DUA UCHAGUZI UWE WA AMANI"