Leo ni siku nzuri kwangu, coz mimi pamoja na wafanyakazi wenzangu tunaelekea beach kwa ajili ya mapumziko na ku-delet mafolda yaliyojaa vichwani kwa tafrija fupi baada ya kuwa bize na kazi kwa kipindi cha mwaka mzima. Huo ni utaratibu uliowekwa na ofisi yetu kila mwaka. W'KEND NJEMA wadau.
Friday, October 1, 2010
Posted in | |
0 Comments »
One Responses to "NICE WEEKEND HOMIE"