Mwakilishi wetu katika shindano la BBA All Stars, Mwisho Mwampamba amedondoka Bongo leo majira ya saa moja na dk 45 usiku na kupokelewa na wadau kibao. Wellcome back bro.
Wednesday, October 20, 2010
Posted in | |
0 Comments »
One Responses to "MWISHO ADONDOKA BONGO"